Exodus 39:42-43

42 aWaisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile Bwana alivyokuwa amemwagiza Musa. 43 bMusa akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile Bwana alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Musa akawabariki.
Copyright information for SwhKC